🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 *JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO* *1---2* *_______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* LEYNA NA LEYLA ni mabinti mapacha wanaofanana sana kwa mtu ambae hawafahamu hakuweza

🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 *JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO* *1---2* *_______________________________________*  *SEHEMU YA KWANZA*  LEYNA NA LEYLA ni mabinti mapacha  wanaofanana sana kwa mtu ambae hawafahamu hakuweza

kuwatofautisha lakini pale mtaani kwao watu waliweza kuwatofautisha kutokana na tabia zako. Leyna alikuwa ni binti mtukufu sana. aliyependa kwenda na wakati, kupenda kuwa na vitu vizuri wakati maisha yao hayakuwa mazuri kihivyo. Wallishi na mama yao na alikuwa akifanya biashara ya kuuza samaki. Lakini Leyla alikuwa binti mpole sana ambae hakutaka makuu aliangalia masomo yake. Siku moja likuwa majira ya saa sita mchana wa jua kali. Binti Leyla alikuwa akimsaidia mama yake kuandaa samaki wake wa biashara. "Leyla mwanangu, waoshe vizuri hao samaki na hakikisha unaweka viungo vya kutosha. Mama yake alimkumbusha. "Usijali mama yangu, kila kitu kitakuwa sawa."

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments