
aliyejulikana kwa jina la Zena, alikuwa anafanya biashara ya kujiuza ili aweze kuweka kitu tumboni mwake. dada huyo alikuwa na wateja wamaana na mapedeshee wengi sana kwa hiyo kwa siku yeye kuondoka na laki 4 au 5 ilikuwa ni kawaida sana. Siku moja dada Zena aliamua aende hospitali ili akatoe mimba aliyokuwa nayo tumboni mwake, alifanikiwa na kutoa mimba ile lakini baada ya kumaliza utoaji wa miamba alimuomba daktari atoe kizazi kabisa ili asipate tabu ya kuja kutoa mimba kila mara! Daktari alifanya kama alivyoambiwa. Dada Zena alirudi mtaani na kuendelea na biashara ya kujiuza. Siku moja ilikuwa jumapili Zena
0 Comments