CHIZI UNGEKUWA NA SIMU NINGEKUPIGIA SI KWA UTAMU ULE UMEMZIDI TIMAMU Sehemu ya 20

CHIZI UNGEKUWA NA SIMU NINGEKUPIGIA SI KWA UTAMU ULE UMEMZIDI TIMAMU   Sehemu ya 20

Chizi akawa anaunguruma sasa nikajuwa hapa atamuua baba kweli nikaanza kumwita dear dear dear punguza asira nakupenda sana usifanye chochote kama unanipenda sawa muache uyo ni mzazi tu. Yani naongea kama naongea na timamu namwona baba wa chizi anapiga magoti anasema mwanangu nisamehe mimi nisamehe sana nakuomba mwanangu mimi nimekosea sana mwanangu naomba unisamehe wewe binti niombee msamaha kwa shukuru. Chizi akasema amaeanza kusema yeye ndio maana upo salama mpaka sasa kama asingesema uyu dear dear dear wangu wewe nishakuua saizi. Mama mkwe akasema basi mwanangu twendeni nyumbani. Chizi akaniambia twende nyumbani dear dear dear. Sikuwa mbishi basi njiani mahaba

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments