
hali iliyo pelekea mama kupata ugonjwa wa kupalalaizi mama tokea hapo hakuwa tena na uwezo wa kuniangalia mimi ilibidi nisome kwa shida shida mala naenda mala siendi hivyo hali ile iliniumiza sana tena zaidi ya neno sana nikawa juma mosi na juma pili naenda mizani kuomba kazi ya kudeki na kuosha viombo ili nipate pesa kidogo hata ya kukologa uji nyumbani maisha magumu sana tena zaidi ya neno sana nilipitia mitihani mingi sana kutukanwa kunyanyasika ila cha kushukuru mama yangu hakuwahi kulala njaa Japo kwa shida nilikuwa napata viji senti vidogo vidogo kwa kipindi hichi chote hali ya maudhulio ya
0 Comments