
asubuhi naondoka Makambako nilipata shida kidogo moyo wangu ulikuwa unaniuma sana sieleweki yani mala naji sonya mala nacheka tyuu hatimae nilisikia hodii hodii hodiii niliitikia karibu pita ndani asante dada mum mama ako nimemkuta ndio yupo chumbani, Mama unaitwa mama alitoka mmmh mwanangu hujambo sijambo shika moo marhaba mwanangu mama nimetumwa na mamdogo nilite hela hii ya nauli ya dada mum Nilipumua kwa nguvu sana mmmmh mmmmh hapo ndipo nilijua kuwa mama yangu kamaanisha kweli mum hela yako hii jiandae asubuhi safari , haya mama mi naenda sawa mwanangu Dada mum byeee haya byee basi tulibaki pale mimi na mama
0 Comments