❤️❤️ SHEMEJI INAUMA LAKINI TAMU😋 Sehemu ya pili 👉 Mke wangu niambie maiko ni nani mbona unalia unamtaje yeye?. " Ni bwana....👇

❤️❤️ SHEMEJI INAUMA LAKINI TAMU😋  Sehemu ya pili  👉 Mke wangu niambie maiko ni nani mbona unalia unamtaje yeye?.  " Ni bwana....👇

Bwana😭😭. ( Ikabidi nidakie kwa kumzuga shemeji) " Bwana ametwaa tulia dada. " Siwezi niacheni tu. " Mke wangu kazi ya Mungu aina makosa sasa kunywa POMBE ndio nini acha mke wangu. " Sawa naombeni mniache nilale kwanza. " Sawa lala mke wangu. ( Dada alilala sebuleni shemeji alikaa na yeye pembeni kumlinda dada mimi nikaenda kulala chumbani uku najiuliza dada mbona anataka kufanya mambo ya ajabu kwenye ndoa yake ivi pale alitaka kusema maiko ni bwana ake inamaana ndio mapenzi yamemzidi mpaka anashindwa kuelewa hili baya hili zuri...nikawaza nikalala asubuhi shemeji ananiambia) " Shem wangu naomba uende na dada

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments