
kutoka salama kwenye mikono ya waandishi wa habari, na kweli ulikuwa ni mpango maana jion taarifa zikaruka za kuomba radhi kua hakuna uthibitisho wowote ule ambao ulikuwa unaonesha kuwa Edward marco alikuwa ana ugonjwa wa akili au hapatan na kelele na anaomba taarifa hizo zipuuzwe.. Tukashusha pumzi, ila Edward akasema aliofanya haya yote ni baba yangu, ni muda sasa wa kuhakikisha kuwa nay eye anapotea kama alivyoipoteza familia ya mama yangu.. " utafanya nini? Ikabidi nimuulize... mimi ni mfanya biashara mkubwa sana, na kanuni za bishara ni kuwa, ukishindwa kupambana na adui yako mapema basi atakuangamiza yeye, utaona taarifa zake
0 Comments