
umepikwa haswaa, kaka anaefatana na Max, akasema "Diana kwenye mapishi hujawai kukosea aisee nilimiss ivi vitu aisee wewe sio wakutoka umu ndani, kuna watu huwa hawali sana ila leo naona wanaongeza tu misosi, apo wote tulicheka make aliyeongeza ni Max, "Marco kuwa na heshima wakati wa kula, Max aliamua kuongea, ila Marco alijibu tu, nimegusa penyewe Bro, sema sijamwaga mtama nishukuru tu, tukashangaa Max kamkata jicho Marco mpaka akanyamaza kimya, mama akauliza " mbona kama kuna siri inaendelea mnatuficha, aliwatizama vijana wake wote kwa zam zam lakini hakuna aliempa ushirikiano hata mmoja... Mimi nilishiba nikainuka nikajiandae na mtoko, kumbe nimeacha
0 Comments