UN KNOWN BABY MAMA SEHEMU YA KUMI NA SITA

UN KNOWN BABY MAMA SEHEMU YA KUMI NA SITA

Namba ya WhatsApp- 0683944333 ________________________________________ Tulienda mpaka nyumbani na tulipofika akanambia kuwa nisitoke nay eye ataenda kumleta mtoto, nilikuwa nina wasiwasi sana, akawa ananiondoa hofu kisha akaondoka na kuniahidi kuwa atarudi na mtoto nisijali…. Niliingia kwenye maombi maana nilikuwa nina mashaka sana , nilikuwa nampigia simu paul kila wakati ila hakuwa anapatikana, nikazidi kuwa na mashaka maana nilijua kuwa huenda kuna kitu kibaya kimemkuta wakati anahangaika kumtafuta mwanangu, nilijikuta najuta kuingia kwenye maisha ya paul… Muda ulizidi kwenda na hofu juu yangu ikawa inazidi kuliko kawaida, ilifika kama saa sita usiku bado hakukuwa na dalili ya paul wala mwanangu, nikajikuta

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments