*UNKNOWN BABY MAMA* *Muhudumu alielala na bwana harusi kwenye chumba cha honeymoon* *11-15*

*UNKNOWN BABY MAMA* *Muhudumu alielala na bwana harusi kwenye chumba cha honeymoon* *11-15*

*_______________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Kwweli Jordan alilala hapo, na akawa anajifanya kumbembeleza mtoto kumbe alikuwa na yake, na kewakuwa ile nyumba ilikuwa ina vyumba viwili, akasisitiza kuwa yeye atalala na Jordan na mimi nilale mwenyewe tu, nikakubali… Kwakuwa namuamin basi akaenda kulala na Jordan, sikuwa namuamin sana hivyo nikafunga mlango kabisa asije akanyata na kuingia chumbani kwangu na kuanza kunitaka taka… Imefika usiku nikaanza kusikia mlango unagungwa, nikajua fika ni paul nikajifanya sisikii, akagonga sana mwisho akatulia… Asubuh tunaamka tukakuta ameshatuandalia chai na yupo anamuandaa Jordan, nilikuwa nahisi amani sana nikiwa karibu yake, nilikuwa najisikia vizuri kupita maelezo,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments