USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 13

USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 13

ENDELEA....... Niliinamisha kichwa changu kutoa heshima kwa Malkia Ada. "Nadhani Mimi na Malkia Shamsa tulikufukuza, kwanini umerudi hapa " Malkia Ada aliniuliza. Nilipokosa jibu alimgeukia Mfalme. "Pangani, naweza kujua kwanini bini huyu mwizi karudishwa hapa au kaletwa kuchinjwa " "Hapana.....kama hauna haraka huko uendako unaweza kurudi ndani. Nitatoa tamko kuhusu huyu binti " Mfalme aliongea. "Kwa kuwa najali kuhusu usalama wa Taifa hili nitarudi ndani...." Malkia Ada alimpa ishara Mtabiri Mkuu wakageuza miguu yao. Kabla ya kutangazwa rasmi kuhusu vyeo vyangu nilibadilisha mavazi. Mlinzi alikuja kunichukua akanipeleka kwenye ukumbi wa baraza la Mawaziri ambako Mfalme huendesha vikao vyake. Nilitoa heshima

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments