USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 16

USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 16

ENDELEA...... Basi nilitolewa juu ya meza kwa amri ya Mfalme. Kama utani hivi lakini niliondoka na Mfalme. Sadia Mimi nilipatiwa malango yangu, ilinilazimu ni kae ndani kwa ajili ya harusi itakayo fanyika siku tatu zijazo. Waja watake wasitake jambo litakuwa..... Mfalme ndio kashapitisha hivyo. Taarifa zilitumwa nyumbani kwetu , vile Baba yangu hana subira aliingia malangoni kwangu kwa siri kubwa. "Naomba utoroke mbwa wewe, umewezaje kuthubutu kutembea na Mfalme hadi umependekezwa kuwa mkewe wa pili hakika sitakubaliana na hili" "Makasiriko ya nini sikutaka pia lakini kila kitu kimetokea chenyewe.... kwahiyo upo hapa kuniambia nitoroke? siwezi kutoroka kwa sababu kama nitafanya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments