USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 17

USIKU MMOJA TU ALIDATA   SEHEMU YA 17

ENDELEA....... Basi Mfalme alitoa amri Mtabiri Mkuu atolewe gerezani mara baada ya harusi yetu kukamilika. Sikuelewa kama nimefanya jambo jema au nimeharibu maana watu walikuwa wakinong'ona. Nilikuwa na uwezo wa kuomba watu wa ukoo wangu wapatiwe dhahabu lakini sikutaka kufanya hivyo kwa sababu Mtabiri Mkuu aliingia matatizoni kwa sababu yangu. Kama si yeye kunichagua nilipokuwa gerezani sidhani kama leo hii ningekuwa Ikulu. Hakuna jambo lisilo na mwisho hatimaye harusi yetu ilimalizika. Watu wa ukoo wangu walimshukuru Mfalme kwa kumpatia zawadi ya pombe. Yeye pia aliwashukuru kwa kuwapatia vipande vya dhahabu kila mmoja. Kwa kuwa sherehe ilikuwa imemalizika hawakukaa waliondoka. Usiku

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments