USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 6

USIKU MMOJA TU ALIDATA  SEHEMU YA 6

ENDELEA...... Mfalme aliingia akiwa na Mlinzi wake, buti alilovaa sasa halikuwa tofauti na zile gari za kuchora kwenye karatasi. Mbavu zangu huwa ni nyepesi kama karatasi aisee, nilishindwa kujizuia Mb....wa mie niliachia kicheko Eeeh ndipo Mfalme alichungulia uvunguni mwa meza. Kwa aibu nilitoka nisijue najibu nini "Huo mpira wa mtoto hujaupata " Mtabiri Mkuu aliongea bila shaka alikuwa ananitetea. "Si...si...sijaupata " Niliongea kisha ni katoa heshima yangu kwa Mfalme. Eeh huyu Mfalme bhana, alinyoosha mkono wake akaanza kunifuta futa vumbi nililotoka nalo uvunguni. "Ivan ni mtoto wangu Mimi, jitahidi kuwa msafi masaa 24 anapokuwa mikononi mwake " Mfalme aliongea. "Nimeelewa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments