USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 7

USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 7

ENDELEA....... Kama nilivyo tarajia tu, maneno yalisambaa kwa haraka sana. Goma halikulazwa niliitwa malangoni kwa Malkia. "Unajisikiaje kufananisha mtindo wa nywele na Malkia " Shamsa aliuliza. Nililitambua kosa langu, sikutaka kuendelea kusimama nilianguka chini kuomba rehema. "Siyo kosa lako nitamkumbusha Mfalme Pangani, kuna muda anakuwaga mwema sana kwa Vijakazi kiasi cha kukosea. Naamini kosa hili halitajirudia tena.....nitabadilisha mtindo wa nywele kuzuia watu kuzungumza " Malkia aliongea. Nilishukuru kwa kusamehewa, niliendoka huku mapigo ya moyo wangu yakienda zigzag kwa kifupi yalikuwa yamevurugika. "Malkia Ada anakuita..." Kijakazi wa Mama yake Ada alinidaka. Nilimfuata kwa nyuma hasa baada ya kukumbuka ahadi tuliyo wekeana.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments