USINITANGAZE 11. ❤❤

USINITANGAZE 11. ❤❤

ENDELEA.............. Mzee alikula huku Boke na wenzake wakimtazama kwa kuibia na baada ya kumaliza alilipa na kuondoka, siku iliyofata alirudi kwa mara nyingine na kuagiza chakula kile kile na siku ya tatu tena alirudi kwa mara nyingine na kuagiza chakula kilele na baada ya kumaliza kula akaondoka. "Mama unajua huyu mteja wako simwelewi kabisa" "Kwanini?" "Simwelewi tu yaani naona kama hafai kula kwenye mgahawa wetu" "Acha ujinga wewe litoto sijui unaakili gani tu ebhu nenda huko ukatengeze mchicha" Boke alitoka kwenda kufanya kazi kama alivyoambiwa na Mama yake na ilipofika mida ya mchana Boke alitoka kama yupo na kwenda kwenye

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments