
ENDELEA................ Alitembea mpaka alipokuwa na kusimama mbele yake. "Mama yako yupo?" "Hayupo" "Basi sawa nenda!" Boke aligeuka na kuanza kuondoka na mzee alijikuna kidevu baada ya kuona msitari wa Boke wa nyuma. "Hichi kitoto hakijaanza kweli haya mambo?" Aliwaza na kushituliwa na mteja aliyefika pale mda huo huo. Boke alifika mpaka kwao na kumkuta mama yake akizihesabu hela tena akiwa ndani ya ch**pi tu yaani hakutaka hata kuvaa nguo kwa wakati huo. "Jasho langu hilo mama!" Boke aliongea na kuchukua noti tano. "Mmmh wewe nawe!" "Hii ya kwenda kujipoza!" *************** Mama Boke alinogewa na pesa alizopewa na binti yake na
0 Comments