
Linda Aliamka na kusimama haraka akakumbuka kwamba alilala ofisini kwa Alex wakati anatakiwa kufanya kaziz Alitoka chumbani na kukutana na Alex akibonyeza simu yake. Alex Alinyanyuka mara baada ya kumuona lindaa na kumfata na akamkalisha kwenye kiti chake. "Unajisikiaje" aliuliza na Linda akaitikia kwa kichwa "Una njaa" alimuliza na Linda akaitikia kwa kichwa. "Sina nguvu ya kuzungumza, akasema Linda.. "Uhm....Linda samahani sana kwa kukukumbusha kumbukumbu zako za huzuni," alisema Alex "Siyo kitu" akajibu Linda mara ghafla wakasikia mlango unagongwa na Alex akamruhusu anaegonga aingie ndani ya ofisi yake. Alikuwa ameagiza pizza na ukawa imefika wakat huo. "Alex fungua pizza Linda
0 Comments