UTAMU WA MABOSS Sehemu 25~26

UTAMU WA MABOSS Sehemu      25~26

Linda akiwa analaza kichwa chake kwenye dawati na ujumbe unatokea kwenye kompyuta yake ndogo. Ilikuwa kutoka kwa kampuni ya juu 🗨 Bwana Alex, pendekezo lako limeshughulikiwa na utapata jibu hivi karibuni. Ujumbe ulisomeka hivyo na Linda akatabasamu kwa furaha. Hii ni habari njema. Akasema Linda Alisimama na kwenda ofisini kwa Alex lakini alipoingia ndani, alikutana na jambo la kushangaza zaidi maishani mwake. Alex....Alex anambusu yule binti aliyemuona akimbusu siku yake ya kwanza kazini. "Alex alinitumia, alicheza na moyo wangu, alinichezea hisia zangu,akawaza linda Kisha Alikimbia nje, nje ya kampuni, " Kwa nini ni lazima niumie? Maisha yangu yote ni ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments