UTAMU WA MABOSS sehemu ya 29

UTAMU WA MABOSS sehemu ya  29

"Tumekuwa tukitafuta na kupekua lakini hatukupata chochote hata tulipoangalia picha za CCTV lakini ikabainika CCTV haikuwa inafanya kazi siku hiyo,akawaza Alex "Nimechoka sana.nina uhakika ametekwa nyara lakini tutawafuatiliaje" Michael alisema na Alex akasimama. "Nadhani tunaweza kuwafuatilia" Alex alisema na wakanipa sura inayosema utawafuatilia vipi wakati hata ushahidi hatuna. "Michael, unakumbuka siku ile tulipoenda kununua pete," Alex alisema . "Mmmmh kwani vipi" Michael akasema "Mshika fedha alisema ni pete ya tracker na kwa vile tumeinunua haiwezi kurudishwa" Alex alisema na Michael akaitikia kwa kichwa. "Oh ndio na umelipia na kusema tracker inaweza kutusaidia siku moja" alisema Michael na Alex akatabasamu. "Subiri...kwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments