
Nadia alijaribu kuficha huzuni yake kwa kujaribu kutoa tabasamu mara kwa mara alinyanyu grass ya juice na kunywa kidogo, lakini mikono yake ilikuwa inatetemeka. Jayden alimwangalia kwa makini, moyo wake ukijaa hofu kana kwamba kuna kitu kinamumiza Nadia. “Nadia, unajua unaweza kuniambia chochote, sio lazima ipambane na hisia zako mwenyewe,” Jayden aliongea kwa sauti ya upole. Nadia alitabasamu , halikuwa tabasamu halisi lilikuwa tabasamu la kuigiza. Nipo Sawa tu, Jayden ni mawazo tu ya kawaida. Kwa mbali, macho yake yalibaki yakimfuata Kabir na mke wake. Kabir alionekana akicheka, akizungumza na wageni huku wakipeana mikono kwa heshima na furaha. Kila mtu
0 Comments