
Sawa katibu wangu karibu ukae nikuelekeze.. Nilivuta kiti nikakaa nikaanza kumsikiliza kiukweli akili haikuwa hapo nilikua nawaza vitu vyingine kabisa 😁 alikuja kunishtua yeye mwenyewe vipi umeelewa? Kiukweli nilikua hata sijaelewa kitu chochote nilitikisa kichwa tu ndio... Kama umeelewa haya shika peni sasa uwe mwalimu wangu..... Gerson aliongea nikabaki nimetoa macho kama fundi saa 😳.. Gerson alinishika mkono wangu bahati mbaya mara Nice na yeye akawa anaingia darasani akatuona... Ilo mimi sikujali nikasema kutesa kwa zamu.. Angel najua hata hunisikilizi unawaza nini au kuna mchumba unamuwaza hivi unajua hivyo vitu viwili haviendi pamoja... Gerson aliongea Siwazi mtu naomba samahani naomba
0 Comments