NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA 🙈♥️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ SEHEMU YA 32

NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA 🙈♥️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️  SEHEMU YA 32

Aizack alimbeba Haraka Haraka Trishaa Mpaka Kwenye Gari na Kumkimbiza Hospital George Alichukua Box Akalipeleka Mpk KWA Mkuu wao mr Zingi Walikagua Kimoja Baada Ya Kingine Walikuta Kuna Bahasha Moja Imejaa Makaratasi Na Walipo Kagua Mr zingi Alishtuka sanaa "Vipi Mkuu" George aliuliza "Hizi ni documents za Sili mno Kuhusu manunuzi ya Siraha Na Uuzaji Sijui Alex alizitoa Wapi aisee Kuna Kontena Zilipoteaa Miaka Miwili Iliyopita Na Hazikujulikana Zilipo Enda Hata Tume Iliyoundwa kuchunguza Hazikuleta Majibu yakueleweka " Alitoa Ufafanuzi Juu ya Document Hizo Walikuta Nyaraka Nyingi za Siri zinazofanyika Alex alizipataje Hawakua Na Jibu kamili MWISHO Walikuta Flash tatu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments