🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! ( Part 6)

🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! ( Part 6)

ILIPOISHIA..., Baada ya Turi kuwasili kwa mama yake , alikaribishwa kwa tabasamu nzito la Mama Vero pamoja na Vero mwenyewe , mpaka Turi alihisi hofu moyoni mwake, maana isingeweza kuwa rahisi kiasi hicho kwa mtu ambaye aliyemzoea miaka mingi na hata baada ya kupewa pesa bado alionyesha kinyongo, sasa inawezekanaje amchekee mapema kiasi hicho!?. Lakini, Turi alijipa moyo na kuomba mungu amsaidie maana yeye ndiye mjuzu wa kila shari na kheri. Alipofika hadi ndani, mama Vero haraka haraka kuriko kawaida, akamkaribisha Turi maji ya kunywa, " karibu maji haya mwanangu Turi, maana na joto hili duuuuh!, ebu ona unavyo vuja

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments