
SONGA NAYO...... nikasimama uku nmeshika kiuno nikawatazama nikawauliza vp kuna mtu kaibiwa mbona mnapiga kelele barabaran shida Nini akajibu Diana shoga angu naona mimba imekupendeza mashallah ila tatizo ni Moja tu umefulia unatembea Kwa miguu πππ wakacheka uku wanagongeshana mikono na brie nikamjibu saw natembea Kwa mguu ulitaka niikate iyo miguu niiache nyumbn au em acha shobo unaongea shombo ukiwa aujawai kumiliki ata baskel uko unaangaika na gari za watuππ nikamsikia brie anajibu ila tumepewa gari na bwana Ako na anatuekea mafuta kila siku we huogopiπππ wakawa wanacheka nikamuulz we brie unajua historia ya iyo gari kwanza au unabwabwaja tu
0 Comments