
Sehemu hii kwa sasa ina zaidi ya watumiaji Bilioni 1.5 kwa siku; itakuwa ni sehemu kubwa kwa brands mbalimbali kuweka matangazo yao.
Watumiaji wa WhatsApp wataanza kupata matangazo. Mfumo huu unafanana na mfumo wa matangazo katika app ya Facebook Messenger. Mabadiliko haya yataanza katika update mpya ya WhatsApp, kwa watumiaji wote
@swahili.tek
Soma zaidi
0 Comments