DADA WA KAZI – 🧨 “EPISODE 6

DADA WA KAZI – 🧨 “EPISODE 6

Usiku ulikuwa umetulia kama mzoga wa samaki uliokwama mtoni. Kimya kilitawala, ila ndani ya moyo wa Aziza, mawazo na maumivu ya kuanguka vyote vilimuandama alikuwa akiwaza afanye nini maaana tayari karikologa bado kulinywa tu . Baraka akiwa bado amevaa kaptula yake fupi aliyotoka nayo chumbani, alichomoka nje kama simba aliyesikia sauti ya swala karibu na pango lake. “Ni nani huyo?” Baraka aliuliza kwa sauti ya kukandamiza hofu, akiwa ameshika sime kwa mkono wa kulia na tochi kwa mkono wa kushoto. Neema naye alifuata kwa nyuma akiwa kajifunga kanga tu ikiionysha juu ya mwili wake kalowa jasho maana ile shughuli ilikuwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments