Yanga SC na Singida Black Stars Waibuka Kidedea, Watinga Raundi ya Pili Michuano ya Afrika ⚽

Yanga SC na Singida Black Stars Waibuka Kidedea, Watinga Raundi ya Pili Michuano ya Afrika ⚽

Wikiendi hii imekuwa ya furaha kwa wapenzi wa mpira baada ya vilabu viwili kutoka Tanzania kuonyesha ubabe wao kwenye michuano ya Afrika. 👉 Singida Black Stars wametinga raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kwa jumla ya mabao 3-1 dhidi ya Rayon Sports ya Rwanda. Baada ya kuibuka na ushindi wa 1-0 kwenye mkondo wa kwanza, walihitimisha kazi kwa kuichapa Rayon 2-1 kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Mabao ya Stars yalifungwa na Diomande (43’) na Anthony Trabi (57’), huku Tambwe Gloire (37’) akiwafutia machozi wageni. 🔜 Singida sasa wanasubiri mshindi kati ya Al Akhdar (Libya) na Flambeau

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments