
SONGA NAYO ........... niliogopa kumuona baba angu pale mama alikua ananitazama ametabasam lakn machoz yalikua yanamdondoka bibi alikuja akanikumbatia na shangaz pia akanikumbatia akaniambia mkwe wangu karibu nyumbn ulinipa hofu Sana ulivyoondoka nikatabasam π bibi akaniambia kalibu Sana mdogo angu tulikua tunawasiwas na Ww sana nikawaambia nimekalibia bibi asanteni akaja babu akanikumbatia akaniambia mchumba angu hongera naona uyu bwege kaamua anipokonye ataki ukoo uende mbali π€£π€£π€£ tukacheka bas akaja baba angu na mama angu wakaniweka katikati wakanikumbatia baba angu hakuongea alikua anatabasam tu ila mama Sasa akaanza kulia eti nimpe Sana presha kipindi sipo nyumbn alikua hana raha nikamwambia nisameh
0 Comments