
Baada ya Boss paschal kuniita Raya ππ nilijitoa mikononi mwake! Alf nikamkata jicho likeπ€¨ mshenzi wewe Kwa hiyo umeamua kuniita jina la mwanamke wakoπ€¨ famasiala Nini Wewe nilimuacha pale akiwa amesimama nikasimamisha zangu bodaπ«°π«° nikamwambia anipeleke Hill view hotel boda alivuta mafuta akaachia chombo safari ikaanza...... Pendoπ£️ aliniita boss Paschal kwani naitika Sasa π€£ wivu mbaya famzaha Nini alijaribu kukimbiza boda lakini tulimuacha mbaliii Yani uniite jina la baby wako Ili iweje Kwa mfano boda alinipeleka Hadi Hill view hotel nikatoa pesa nikamlipa chapu nikakimbia zangu chumbani kwangu Nikajifungia huko! Hapo simu nimeiwekea airplane mode sitaki usumbufu famasiala na kupenda
0 Comments