
Bila ya jamaa kutoa vijana wake leo Mutsepe angekiri kuwa Senegal walionewa lakini isingesaidia kitu tayari Morocco Bingwa.
Kuna muda inabidi sheria zivunjwe kwa manufaa ya Umma.
Kuna muda haki haiji kwa kulalamika tu inabidi uipambanie, ujitoe, udhibiti kilicho chako la sivyo watu watakuja kuchukua hadi vile ulivyodhani ni vyako.
Senegal wameungwa mkono na Afrika nzima kwa sababu wamefanya kile wengine walichoshindwa kufanya.
Mwanaume kaleta utata ugenini mbele yao na karudi na Kombe nyumbani 👍🏿
Mbuzi kalala kwenye chaka la Simba.
Steve Champion
Soma zaidi
0 Comments