FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11

FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11

SONGA NAYO........ 500 UNAPATA VYOTE VILIVYOBAKI Benny alistuka sana sana alianza kutetemeka na kuogopa sana, mpaka nilimuonea huruma maana naona alichanganyikiwa kuliko mimi mwenyewe " Sasa ndio Nini hivyo yaani unapaniki kuliko Mimi sijui tunafanyaje na nikuambie tumbo langu sio Kama Sabrina miezi mitatu tu linaonekana vizuri kabisa sijui tunafanyaje" " Please naomba uniache mwenyewe hapa sawa kakae ndani tutaongea Sana nikishawaza nitakuita " Kwakuwa niliona Hali yake aliyokuwa nayo sikuwa mkaidi haraka nikaondoka nilifika ndani nililia nyie acheni nililia sana niliwaza tu pale nitakapotoa halafu nikafa , yaani ilo swala liliniuliza sana, majila ya saa mbili usiku Benny akanitumia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments