
ENDELEA........ "Kama ungekuwa na Wivu na mimi usingenisaliti kwa kutembea na ndugu yangu. Ludi ofisini kwako. Hapa wafanya kazi wote wanakushangaa weww na kumbuka wewe ni nani. Hutakiwi kufanya mambo ya mihemko namna hii unashusha heshima yako" "Nilishakwambia usinipangie cha kufanya. Mimi ni boss wako na pia ni mchumba ako" "Mchumba?, mchumba hiyo vipi tena na wakati jana tu mbele ya wazazi ulinikana" Sony hakutaka kuongea zaidi badala yake alinisogelea kwa ukaribu alitaka kunibusu mdomoni ila kabda ya kufanya hivyo Manka alifika eneo hilo. Sony baada ya kumuona Manka alishtuka alidogea mbali kabisa na mimi. "Mtoto amekumiss anataka kiss kutoka
0 Comments