
SIMLIZI: Mathayo hakuamini alichokiona Jaman tuma shetani alikuwezaje Wewe mbona umetenda hii dhambi Tuma alinyenyuka akamwambia mathayo Nisikilize wewe mathayo Mimi sina hiyo nizamu ya ujinga Mtoto kama huyu kumuacha hivi siwezi Yaani nini kitanifanya nimuache mrembo kautaka Niache Wewe tuma shetani amekuweza Kweli unavoongea kama vijana wapumbafu Ivi umerongwa au Imekuwaje Songa nayoo 👇 ♥️ ........................ Weeeee hebu tulia mimi ni mtu mzima Nafanya kila nionaalo jema Usinifundishe chakufanya .. Tuma alimjibu mathayo awmu hii kwa ukali Tuma kwani umeingiwa na pepo gani Mbona unajisahau nini unafanya tuma Hebu amka tuma ulipo lala Biblia inasema mpingeni shetani Nae atawakimbia
0 Comments