BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 08

BINAMU WEWE UNGEWEZA?   SEHEMU 08

ENDELEA....... Nilimueleza mama kila kitu wala sikumficha. "Wewe huyu mpaka Sony anakupiga kwaajili ya Manka. Aiseee sikuwai kujua kama unaishi na nyoka ndani mwako. Pole binti yangu" mama aliongea kwa masikitiko. Hakutaka mambo yaishe juu juu alihitisha kikao, wazazi wa Sony waliitwa na mtoto wapo, Manka pia alitlitwa. Taarifa zilimfikia baba nje ya nchi chapu. Alimpigia simu dada yake kumshtakia aliyofanya mwanae ila mama Manka ndo kwanza alifurahi na kusema kwamba mimi kuwa na Sony huenda haikupangwa aliyepangiwa ni Manka. Saa mbili usiku wote walikuwa wamefika. Mama aliwaeleza yanayoendelea kati yangu na Sony na chanzo ni Manka. "Sony ni kweli?"

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments