
ENDELEA........ Nilicheka huku nalia wao wenyewe walinishangaa huyu vipi?, "Ni jambo jema na ni matamio yako kwa muda mrefu kuitwa baba. Hongere undugu wangu Manka". Niliongea hayo huku nikiwa nimepambwa na tabasamu lenye maumivu makali sana moyoni. "Asante soon nampa heshima Sony ya kuitwa baba. Ok tusikuchoshe sana yetu ni hayo tu" Manka aliongea hayo bila hata aibu eti ndugu sisi tumeshea dudu la mwanaume mmoja na wote ni wajawazito na mimba ya huyo bwana Sony. Nyie nilihisi uchizi mwenzenu. "Baby nahitaji kupumzika nimechoka sana" Manka aliongea kwa madeko huku amemlalia Sony kifuano. Nyie nilikuwa nahisi labda naota jamani kumbe
0 Comments