
SIMLIZI: Baada ya kusoma huo ujumbe nika jua siyo kuzuri Ndiyo maana milango imefungwa Niliinuka ili nikimbie kumbe mle ndan walikuwemo watu tayari kwaajili ya kuniuwa Mimi nimetumwa nimuuwe huyu Kiongozi Na kumbe Kiongozi nae ametumwa kiungo vmcha kahaba na mganga ili ashinde uchaguzi huu Songa nayoo👇👇👇👇 ,, jenn nilihisi leo ndiyo siku yangu ya kufa Maana sikuona tena tumaini Moyo unaniambia giza limetawala Nilijaribu kutafuta njia ya kutoka ndani Sikuona Nikawaza nini nifanye mbona mambo Nimagumu Jasho jembamba likinitoka Nikaenda kujificha chooni Nikawa nasikia ameenda wapi huyu ..hatujui boss Hakikisheni mumemkamata Maana hii ndiyo tageti ya mwisho Tukosa hapa
0 Comments