FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama SEHEMU YA: 06

FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama  SEHEMU YA: 06

SONGA NAYO........ Kila mtu alistuka Sana lakini taarifa hizo zilikuwa zikinichanganya Zaidi Mimi na Julius maana tumeshakuwa kwenye mahusiano kwa muda sana, nilikuwa nilijiuliza kwahiyo mama amjui mwanae au, nilikuwa na maswali mengi Sana na yaliitaji majibu kutoka kwa baba, lakini baba alikuwa akiongea uku machozi yakimtoka " Najua sio rahisi kunielewa lakini naomba mnisikilize kwa makini NISAMEHE Sana Julius kwa kukutenganisha na mama yako, nakumbuka ulikuwa na miezi mitatu tu nilipokutenganisha na mama yako ulikuwa ugomvi mkubwa lakini mwanaume Ni mwanaume nilishinda, nilikuwa na dada yangu ambaye alikuwa akiitaji Sana mtoto na hakuwa na kizazi lakini mume wake alisisitiza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments