
. Zoezi la kula halikuchukua muda mrefu sana...baada ya dakika kadhaa nikamuimba tuanze maongezi yasiyo julikana ni yapi. "Naomba uongee"nilizungumza. "Ni sawa" "Nakupenda sana ,nuru...nahitaji uwe wangu wa maisha"alizungumza. "Umesemaje?"nukaulzia huku nikihisi huwenda sikumsikia vizuri😀. "Nakupenda" "Enheee,una kichaa hakika😀"nilizungumza huku nikimkodolea macho......sikutaka kupoteza muda nikanyanyika nakuanz kuondoka.... Ni ajabu mwanaume huyu akanifata na kupuga magoti mbele yangu akidai ni kweli ananipenda...... "Mimi ni malaya ..sikufahi hakika"nikajibu kisha nikaendelea kutembea. Nilidhani atanifuata nimiwa naondoka....kwa namna nilikuwa na dharau sikuona sababu ya kutazama nyuma nikaamua kuondoka.... Nilipifika maskani nikawa mnyonge sana...ni mbaya kunipends malaya kama mimi nisiyekuwa na mbele wala nyima.naliwa nakila
0 Comments