
__________________________ π Kuma la mama yako unanichongea mimi...π Sipendi ujinga. ( Yule demu kumbe Bora umtukane yeye kuliko mama yake alikasirika sana akaondoka usiku huo huo uku anamwambia) " Si unajifanya kichaa utaisoma hii namba. ( Aliyekuwa mume wangu akaona kama masihara ivi ajajua yule demu anajivunia nini...akalala asubuhi anamwita shoga yangu aende kukaa pale...shoga akafurahi amefanya mapinduzi bila kutumia nguvu kubwa....upande wangu muuza maji alikuja kunichukua tukaenda kwenye semina...ananiandaa kuwa mke mwema...tulienda kwenye semina tulimkuta jogoo poll anaongea) " WANAUME WANAPENDA KUSIKIA HIVI KUTOKA KWA "WAKE ZAO" Inawezekana wapo wanawake wachache sana ambao huweza kufikisha "HISIA" zao moja kwa
0 Comments