BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 11 ENDELEA.......

BINAMU WEWE UNGEWEZA?   SEHEMU 11  ENDELEA.......

"Halooooo! Ebu nipishe mie nisije nikakutapikia hapa"😂😂😂👌🙌 Bubu leo kasema na badooo!👌😁😁😁. Bhana weeee Manka hakuamini kama nimempa kichambo cha ukweli. Sura hana, shepu hana, nyota hana, Elimu hana, pesa hana alafu ndo ashindane na mie niliyemzidi kila kitu. "Yaani unanitukana mimi. Ngoja sasa nikuonyeshe. Alinilukia basi na alivyo na limwili kama tembo basi nilikoma mwenzenu 🥹. Watu walikuwa kutuamulia pale mie nilikuwa hoi, Tumbo lilikuwa linaniuma balaa kwasababu alinikalia Juu ya tumbo langu alafu sasa Manka ni bonge nyie. Damu zilianza kunitoka huku chini kwa bibi, Sony alifika eneo hilo Manka alijidai anaugulia tumbo. Sony alimkimbilis mama badala yangu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments