Je wajua Joseph Ogolan Olita muigizaji kutoka Kenya ndiye aliyecheza Uhusika wa Idd Amin dada katika filamu ya The Rise and Fall of Idd Amin ya mwaka 1981 na Mississippi Masala ya mwaka 1991

Je wajua Joseph Ogolan Olita muigizaji kutoka Kenya ndiye aliyecheza Uhusika wa Idd Amin dada katika filamu ya The Rise and Fall of Idd Amin ya mwaka 1981 na Mississippi Masala ya mwaka 1991

ambayo aliigiza sambamba na staa mkubwa Denzel Washington Joseph alikuwa anamjua Idd Amin kwa kiasi alichofanya ni kujifunza kuhusu Idd Amin kusoma vitabu,majarida na magazeti ili aweze kuvaa uhusika wake vizurii pamoja na kutazama video kunakili tabia na mwenendo wake mwaka 1976 aliikosa nafasi hiyo akafanikiwa mwaka 1981 filamu hiyo iliwahi kuchukua tuzo Tano ingawa Olita hakupata hata tuzo Moja ikiwemo ya Oscar alinukukiwa akisema "alichokifanya Forest Whitaker na yeye hakina utofauti wazungu wanataka kutengeneza staa wao wenyewe" Forest Whitaker muigizaji kutoka Hollywood ambaye alicheza uhusika wa Idd Amin ktk filamu ya The Last King of Scotland ya mwaka 2006

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments