KAKA ME DADA YAKO 15

KAKA ME DADA YAKO 15

SIMLIZI: Nikiwa pale nimejificha nikawa nasikiwa Miguu kama kuna mtu ananyata Mmh uoga sasa moyoni nasema mungu Nisaidie nimzalie kaka yangu mika Huyu mtoto Alafu nilipe kisasi kwa madam Kile kishindo kilizidi kunikalibia weeeee Niliogopa nikawaza ninani huyu Nikabana mdomo nisitoe sauti lakini Pale pale tochi kali ilinimlika Usoni daaaa nimeisha😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Songa nayoo 👇 👇👇👇 Sikujua ninani anenimlika nimechoka sana Lakini nilijua tayari nimekamatwa tu Lakini haikuwa kumbe alikuwa police jamii Yule kijana alienipokea mabatini Kipindi nimekuja mwanza Wwe jenn unafanya nini hapa mbona uko kwenye hii hali Wewe nani nilimuuliza ili ajitambulishe Mimi ni mathayo wa mabatini niliekupokea Ahaaaa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments