
SIMLIZI: Zaidi ya kisasi tu Lakini madam utalipa na utaniambia Ila aaa madam nimachozi tu huko polini Walipomuuwa mika walianza kunitafuta na mimi Mmh na hapa nimechoka mungu wangu Uko wapi mbona umeniacha mungu wangu nini nimekukosea baba mbona umenisahau 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Songa nayoo 👇 ♥️ ❤️ Sasa nikukimbia ili kunusuru uhai wangu Maana police wanakuja kwa kasi ...japo nimechoka Giza nalo limetanda nikajificha kwenye kichaka Nikatulia Upande wa pilly na madam Baada kumpiga yule jamaa alietumwa kumubaka hadi achanganyikiwe Pilly alikimbia aende zake alipotoka nje Alikutana na madam alipomuona madam lingua kicheko Waoooo shujaaa umetoka salama Nilijua tu maana wewe
0 Comments