
SIMLIZI: Tuma alinipa elf 2 nikabeba kimfuko Nikanunue mboga Gengeni , nikachukua mboga Dagaa za elf 1 na nyanya za mia mbili na mafuta ya mia tatu mkaa wa mia tano Nikaanza safari kurudi bahati mbaya kukawa na Foleni ya magari sikuweza kuvuka hivo nikasimama wakati nimesima pale Kwa mbali nilimuona mtu Lakini alifanana na kaka mika mmmh Nilistuka ni mzimu wake ama nini Ngoja nisubiri nione Sikuamini ninachokiona mbona huyu ni kaka mika Kwani hakufa kwenye mashambulizi Nilimuita kakaa aaa Aligeuka naam heee dada jenn ,,,, KAKA MIMI DADA YAKO Sehemu ya 25 Songa nayoo 👇 ♥️ ❤️ Usiogope
0 Comments