MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 14

MY TRUE LOVE STORY  SEHEMU YA 14

Nikalazimisha tabasamu kwenye uso wangu, ila ukweli ni kwamba tabasamu lilikuwa linatoka ila maumivu ambayo nilikuwa nayasikia moyoni hayakuwa yanaelezeka kabisa, nilikuwa nasikia maumivu makali sana, ambayo hata nikiambiwa nisimulie namna ninavyojisikia sikuwa najua nitasema je… Basi sikutaka kuendelea kukaa pale, kwa sababu nilikuwa nahisi kupasuka kwa kweli kwa wivu.. Nikaenda chumban kwangu, nikalia sana, yaan sikujua Mungu alikuwa na kusudi gani na mimi, mpaka anipitishe kwenye haya maisha ambayo alikuwa ananipitisha kwa kweli, sikuwa najua kama mapenzi ndio yanauma kwa kiasi hichi.. Mara nikasikia nabil anaitwa ndio akatoka chumban kwake, ila kabla hajaenda huko alipoitiwa akafungua mlango wangu na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments