
Samahani lakini kaka wewe ni kaka Siwezi kukufanya mume . Haaaa unasema nini wewe Huwezi nini . Sasa usichokijua mimi huwezi kuniepuka Maana uko na mwanangu hili halikwepeki Kaka mimi ni dada yako Huwezi kunioa Kumbe wakati tunaongea tuma alikuwa nje Anasikiliza mmmh hatari KAKA ME DADA YAKO SEHEMU YA 26 SONGA NAYOO 👇👇❤️ ...... Hodiii hodiii Karibu mume wangu Asante wife .. mmmh sijui katusikia Mbona haongei chochote labda hajaongea Kaka we nenda kalale mimi niende kwa mume wangu .. nilimuaga Kaka Nikalale lakini Kaka alianza kutililisha machozi Kama ng'ombe aliechoka na dunia Nilienda kwa mume wangu tuma Nikamkuta
0 Comments