NDEFU HALAFU NENE ILA INANIKUNA SEHEMU 12

NDEFU HALAFU NENE  ILA INANIKUNA  SEHEMU 12

Jamani ni yule kaka😀,nilijikuta nikimuangalia kwa hasira kika nilipogundua ni yulw kidudu mtu ....kwanza liniibia pombe yangu na kujifanya hapendi bia kunbe alihitaji bia tu kutika kwangu. Pili alinipa deal halafu nikalikataa nikidai hela ni ndogo haiwezi kufika levo yangu kabisa. Tatu leo kanimwagia maji hadharani hakutaka kujishusha na kuomba msamaha mbele yangu. Nne nimempa mzigo qa bure bila kulipia chochote kabisa. Nne ni yule mwanamke aliywnitoa usichana wangu nilioutunza kqa mwezi mmoja mara baada ya kuachana na yule mbwa ex wangu.....hivo huyu nimfanyaje eti..... Nikajikuta nimeinuka nikiwa na nia ya kumzava kibao....ni wazi alinipandosha hasira kila niwazapo yale aliyonifanyia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments