Kitu ambacho nimekipenda kwa Simba ni kuleta huduma ya Anicet Oura hapa NBC PL kwanini?

Kitu ambacho nimekipenda kwa Simba ni kuleta huduma ya Anicet Oura hapa NBC PL kwanini?

Kwasababu Anicet Oura ni kipaji bora cha soka [Potential Player] ambaye Alikuwa anahitaji Simba, ana ufanisi upi? 1: Ni mchezaji ambaye amejariwa ufundi sana kwenye miguu yake miwili anapiga yote "Two Footed" na uwezo wake kwa kucheza maeneo finyu kwa usahihi sana kutokana na dribbling zake ambazo zinamfanya anakabiliana na mpinzani kwa usahihi 2: Mchezaji ambaye amelelewa kwenye makuzi ya soka hapa Afrika, kapita pale ASEC Mimosas akiwa yupo mdogo sana na mpaka sasa amekuwa mkubwa na mwenye ukomavu wa hali ya juu sana! Na kitu ambacho nakipenda zaidi kwake anaweza kufunga [Score Goals] Ndio maana Steve Barker ametaka Kufanya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments