
( mtoto pita mbali na simulizi hii na wewe mjuaji pita mbali huu mziki wa watu wazima) Anza nayo....👇 Alafu wewe uvivu umezidi mjini utapaweza kweli kwenda kuchota maji kisimani ndio masaa yote ayo. " Mama nilikuwa nawaaga wenzangu kuwa naenda mjini. " Utakuja kurogwa wewe ushaona wenzio wanaaga uku. " Mama hao wana imani za kishirikina mimi izo sina. " Aya Subili uonge na mama yako mkubwa. " Sawa mama. ( Nilichukua simu kweli nikaongea na mama mkubwa) " Shikamoo mama mkubwa. " Marhaba mwanangu. " Mama kasema nionge na wewe. " Nilikuwa nakwambia ukipanda basi mwambie konda Nashuka
0 Comments